Uasi unapoteza uwezo wa Kijeshi. Anasema ntafiti
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 10.Oktoba.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Kamanda wa Police anatoa wito kwa majeshi kuishi Viema na watu waliorudiswa.
🔸 Vifa zaidi vya kuajiri vinawafikia zaidi ya vijana 800 huko Cabo Delgado.
🔸 Uasi unapoteza uwezo wa Kijeshi. Anasema ntafiti
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +25884328566 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.