Timu ya kupambana na Alpha ya Africa kusini imetumwa Macomia

30 June, 2022

Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi Hii Juni 30,2022.

🔸Timu ya kupambana na Alpha ya Africa kusini imetumwa Macomia.

🔸Mwanajeshe wa Tanzânia afariki Nangade.

🔸Kampeni ya kitaifa ya chanjo hukosa malengo kutokana na mzozo huko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habri za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa ,Shimakonde,kimuani,au kishuaili.

Plural Media habari kwa Lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down