Takriban família elfu 86 zilizoahatiriwa na ugaidi tayari zimerejea katika maeneo yao ya asili
Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 15.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Gavana wa Cabo Delgado atembela eneo lililoharibiwa na magaidi.
🔸 Takriban família elfu 86 zilizoahatiriwa na ugaidi tayari zimerejea katika maeneo yao ya asili.
🔸Mpango wa Mimi kijana (sou Jovem) umezinduliwa ili kukuza mashirika ya Ndani Huko Cabo Delgado.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na grogram yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.