Silaha zaidi ziligunduliwa wilaya ya Nangade

13 July, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 13,Júlai,2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

Watu wasiojulikana wamechoma

🔸 Boti za wavuvi wilaya ya Macomia.

🔸 Kampuni ya Canada wanandaa ndege za Majeshi kukabiliana na Magaidi.

🔸 Silaha zaidi ziligunduliwa wilaya ya Nangade.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down