Shirika la mpango wa Chakula Duniani linaitagi pesa Zaidi kukabiliana na mzozo wa kibinadamo huko Cabo Delgado.

31 January, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 31,januari,2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Shirika la mpango wa Chakula Duniani linaitagi pesa Zaidi kukabiliana na mzozo wa kibinadamo huko Cabo Delgado.

🔸 Magaidi wanapanda kijiji cha Calugo bila ya kusababisha uharibifu.

🔸 Ugiriki wametoa euro elifu 400 kwa ujenzi mpya huko Cabo Delgado.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhassAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa: https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down