Serikali imiakikisha kwamba hudumza za usajili zitarejeshwa Mocimboa da Praia hivi karibuni

17 November, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 17,Novemba,2022,Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kkshirikiana na mrdadi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Magaidi wamishambulia wilaya ya Balama.

🔸 Hakuna kambi za kudumu za kigaidi amiakikisha wazili wa ulinzi wa Taifa.

🔸 Serikali imiakikisha kwamba hudumza za usajili zitarejeshwa Mocimboa da Praia hivi karibuni.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down