Serekali ya Mocimboa da Praia yaamuru wafanyikazi warudishe Kwa lazima

20 April, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20, April 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

🔸 Serekali ya Mocimboa da Praia yaamuru wafanyikazi warudishe Kwa lazima.

🔸 África kusini yaongeza uwepo wa askari huko Cabo Delgado.

🔸 Mahombi ya asubuhi yamerusiwa huko Mocimboa da paraia.


Pata habari kuhuso mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa Zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila siku ya Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako unayopendelea kati ya kireno,kimakowa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Média habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down