Serekali inaonekana kuwalazimisha watu waliokimbia kurejea makzi yao.

6 October, 2022

Abariyako,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 6.oktoba.2022.mambo muhimu .

🔸 Miaka mitano ya ugaidi huko Cabo Delgado ACNUR wanaomba viishe vita.

🔸 Serekali inaonekana kuwalazimisha watu waliokimbia kurejea makzi yao.

🔸 Mateka ishirini wa magaidi wamijisalimisha kwa mamlaka wilaya ya Mocimboa.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya www.avoz.org au kursa zetu za Facebook cheneli ya telgramu na programu yoyote ya podcast.

Pata habari kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwa +258843285766.
Basi chagua lugha yako,kireno,kimakuwa,kimakonde kimuani na kiswahili.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down