Sauti Ya Cabo Delgado 22.10,2021

22 October, 2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 22,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

????Ubalozi wa China unatoa chakula kwa familia zilizohamisha huko Cabo Delgado.

????Mashirika ya kibinadamu uko Cabo Delgado yanahitaji milioni 114 kwa Msaada

????Raia waua watu wawili katika kijiji cha Miezi huko Metuge.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber + 258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down