Raisi WA Rwanda amesema wanajeshi wake wanakomesha ugaidi Huko Cabo Delgado

27 June, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26,Juni2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Raisi WA Rwanda amesema wanajeshi wake wanakomesha ugaidi Huko Cabo Delgado.

🔸 Jeshi lá Angani lá Zâmbia limekuwa likisaidia shughuli za ujumbe wa nchi ya kusini mwa Africa kaskazini mwa Msumbiji.

🔸 Cabo Delgado inachangia na uzalishaji wa pili Kwa ukubwa grafiti Duniani, lakini idade ya watu inafaidika kidogo.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down