Raisi Nyusi anasema watu waliofurushwa makwao hawakuhurusiwa kurejea
31 May, 2022
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Mei 31,22.tunayo mambo muhimu yafuatayo.
🔸Msumbiji lazima iweke kamari kwenye vikosi malumum na rasilimali za kisasa ili kupambana na magaidi anaonya ntalamu wa FADM.
🔸Raisi Nyusi anasema watu waliofurushwa makwao hawakuhurusiwa kurejea.
🔸Wakimbizi walalamikia gharama kubwa za maisha Pemba.
Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25884328766 kisha uchague lugha yako, kati ya Kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishuhili.
Plural media habari kwa lugha yako.