Rais Nyusi amesema Nampula ndi kituo cha kuwasajili magaidi

13 December, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 13 Desemba 2022,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Rais Nyusi amesema Nampula ndi kituo cha kuwasajili magaidi.

🔸 Watu 5 wa kikosi cha Namparama wamikatwa vicha na magaidi.

🔸 Nkutano ambao uliwaunganisha maaskofu wa kikatoliki wa kusini mwa Africa wanakanusha kuwa utulivu umerejea Cabo Delgado.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi mateo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down