PRM inasema kuwa magaidi 54 waliuawa katika muda wa miezi miwili iliyopita

18 May, 2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza na kujuwa zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado, jumatano hii mei 17 muaka wa 2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo:

Separador:

🔸 Idadi ya watu wanalalamikia utendaji duni wa UIR katika wilaya ya Macomia.

🔸 PRM inasema kuwa magaidi 54 waliuawa katika muda wa miezi miwili iliyopita.

🔸 Islamic State wadai kifo cha wanajeshi watatu wa Msumbiji.


Endelea kupata habari kutoka Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook, cheneli ya Telegram na program yoyote ya podecast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kireno, Emakwa, Shimakonde, Kimuani au Kisuahili.

Plural Média-habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down