Ofisi mkuu ya serikal ya mambo ya Sheria imefungua kesi 169 za uhalifu zinazohusiana na ugaidi huko Cabo Delgado

2 May, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 02 Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 IESE imechapisha wasifu wa waasi huko Cabo Delgado.

🔸 Syrah inaonyesha kuwa usalama umeimariswa katika Cabo Delgado.

🔸 Ofisi mkuu ya serikal ya mambo ya Sheria imefungua kesi 169 za uhalifu zinazohusiana na ugaidi huko Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 Kisha uchague lugha yako unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down