Ofisi kuu ya mambo ya Sheria wameshitaki kampuni kwa kuharibu sehemu ya Balabala 1 Huko Cabo Delgado

4 May, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 04,Mei 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Wanajeshi watano wamewaua katika shambulio la kigaidi huko Muidumbe.

🔸 Wafanyakazi Watatu wa ugaidi wamekamatwa Mocimboa da Praia.

🔸 Ofisi kuu ya mambo ya Sheria wameshitaki kampuni kwa kuharibu sehemu ya Balabala 1 Huko Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na grogram yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode,kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down