Nkurugenzu mtendaji wa TotalEnergies anafanya nkutano ili kulipoti maswala ya usalama huko Afungi

13 June, 2025
Photo: Mikhail Metzel, TASS

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.06.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.

Vichwa via Habari:

🔸 Nkurugenzu mtendaji wa TotalEnergies anafanya nkutano ili kulipoti maswala ya usalama huko Afungi

🔸 Wanajeshi wawili waliowaua huko Muidumbe

🔸 Misaada ya kibinadamu imepunguzwa kaskazini mwa Mozambique.


Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani tembelea ukurasa wetu wa Avoz.ogr au chaneli zetu za Whatsapp na telegram.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org, pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down