Nafasi ya majeshi katika wilaya ya Macomia ilishambuliwa

19 July, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Julai,19,22.

🔸Magaidi waliwakata vichwa watu wawili huko Muaja karibu na Montepuez.

🔸Nafasi ya majeshi katika wilaya ya Macomia ilishambuliwa.

🔸Nyusi anakariri kuwa bado hakuna agizo kwa familia zilizohamishwa kurejea.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Shimakonde ,kimuani au kishahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down