Mzozo wa Cabo Delgado unaendelea hadi Niassa

2 December, 2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 02.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Mzozo wa Cabo Delgado unaendelea hadi Niassa.

🔸Mamlaka imekamata meli ya uvivi maeneo ya Afunji.

🔸SADC inaweza kuoengezwa muda wake uko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +25884328766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down