Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia
2 April, 2025
Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 28.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa via Habari:
🔸 Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia
🔸 Gavana wa Cabo Delgado anawalinganisha wandamanaji na magaid
🔸 Waasi wamekamata boti za wavuvi Mocomia.
Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast, na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.