Muidumbe kumesajiliwa mashambulizi matatu ya kigaidi katika muda wa chini ya wiki Moja
Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18, Aprili,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸 Muidumbe kumesajiliwa mashambulizi matatu ya kigaidi katika muda wa chini ya wiki Moja.
🔸 Mpaka wa Namoto na Tanzânia utafunguliwa tena ivi karibu.
🔸 Majeshi wa Msumbiji wanahandaa mashindano ya soka huko Nangade.
Pata habari kuhuso mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa Zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari Zetu kwenye ukurasa wa avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila siku ya Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako unayopendelea kati ya kireno, kimakowa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Média habari kwa lugha yako.