Muanake wa Itália ambeye alikuwa anatumikia kanisa la katolika ameuawa na magaidi huko Memba Jimbo la Nampula

8 September, 2022
Foto: Centro Missionario Concordia - Pordenone

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo ili.

Sauti ya Cabo Delgado inategenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Alhamissi HII, Septemba 08,2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo:

🔸 Muanake wa Itália ambeye alikuwa anatumikia kanisa la katolika ameuawa na magaidi huko Memba Jimbo la Nampula .

🔸 Magaidi arbaini wamijisalimisha kwa Majeshi huko Cabo Delgado.

🔸 Raisi amethibitisha vifo vya watu sita katika shambulio la Memba.

🔸 Polisi imetangaza kuwabana wageni huko Cabo Delgado.


Endelea kuapata habar za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avo.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook, Chenel ya telgram na program yoyote ya Podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Kimakuwa, Kimakonde, Kimuani na Kiswahili.

Plural Media-habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down