Msichana wa Mozambique anazugumzia ugaidi katika siku ya vijana Duniani iliyoandaliwa na kanisa katiliki
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 08.08.2023.Ssuti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Hakuna maji Hospitali ya wilaya ya Mueda kutokana na Madeni.
🔸 Rais wa Jamhuri Amizindua barabara ya Roma_Negomano Jimbo la Cabo Delgado.
🔸 Msichana wa Mozambique anazugumzia ugaidi katika siku ya vijana Duniani iliyoandaliwa na kanisa katiliki.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.