Mocimboa da Praia limetokeya tena shambulio moja la kigaidi

26 July, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Julai 26 2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸 Makumi ya magaidi walipigua risasi katika kambi ya khatupa huko Macomia.

🔸 Mtoto aliyekolewa aliyetekwa nyara na magaidi uko wilaya ya Meluco.

🔸 Mocimboa da Praia limetokeya tena shambulio moja la kigaidi.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya a voz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya facebook, cheneli ya Telegram na program yoyote ya Podcast.

Pokeya habar za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na Kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down