Mkuu wa wilaya ya Palma analalamika Juu ya ukosefu wa uduma za kimsigi kwa idade ya watu

19 September, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 19, Septemba,2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Magaidi wamewaua zaidi ya watu 11 katika wilaya ya Mocimboa da Praia.

🔸 Mkuu wa wilaya ya Palma analalamika Juu ya ukosefu wa uduma za kimsigi kwa idade ya watu.

🔸 Vijana 60 waliofunzwa na CDD huko Chiure katika muktadha wa kuimarisha mshikamano wa kijami.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down