Mkowa wa Nampula warekodi shambulio la kwanza la kigaidi .

23 June, 2022

Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii juni 21,2022.

🔸Mkowa wa Nampula warekodi shambulio la kwanza la kigaidi .

🔸Syrah yaanzisha tena shuguli huko Balama.

🔸INGD bila data madhubuti ju ya familia zilizoacha nyumba zao kutokana na mashambulizi ya ivi majuzi huko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu da Facebook cheneli ya telgram na program na program yoyote ya podecast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani, au kishuaili.

Plural Media habri kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down