Miili mitatu isio na ahai iligunduliwa Chai wilaya ya Macomia

25 July, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 25,Julai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Umoja wa mataifa wamesema Kuna uhusiano kati ya Magaidi wanaoendesha shughuli Zao Congo na Mozambique.

🔸 Majeshi wa Mozambique Wameuawa Kijiji Cha Ilala wilaya ya Macomia.

🔸 Miili mitatu isio na ahai iligunduliwa Chai wilaya ya Macomia.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down