Mfanyabiashara mwengine alitekwa nyara wilaya ya Nangade
Habari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 17,Januário,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa cabo ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸Watetezi Wa haki za binadamu wanakosoa wanajeshi wa Afrika kusini kwa kuchoma maiti.
🔸Jeshi la Rwanda linaenea hadi wilaya ya Ancuabe.
🔸Mfanyabiashara mwengine alitekwa nyara wilaya ya Nangade.
Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536
Plural media habari kwa lugha yako.