Meli mpya itatengenezwa kwa agili ya kuchimba gesi huko Cabo Delgado a mesema Raisi Nhusi
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu jimbo hii.Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo_Ligado.
Jumanne hii, Septemba 06.2022.tunayo mambo muhimu yafuatayo.
🔸Kundi la vijana wamechoma mota nyumba za wanainchi huko Ancuabe.
🔸Magaidi wamefanya tukio la vita kutua Wilaya ya Eráti,Jimbo la Nampula.
🔸Meli mpya itatengenezwa kwa agili ya kuchimba gesi huko Cabo Delgado a mesema Raisi Nhusi.
Endelea kupata habari za Cabo Delgado kulitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook,cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.