Mawakala wa UIR wamenpiga risasi mfanyabiashara huko Macomia
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado alhamisi hi Machi 10,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.
🔸Mashambulizi ya silaha yameshababisha vifo vya watu 15 huko Nangade.
🔸Mawakala wa UIR wamenpiga risasi mfanyabiashara huko Macomia
🔸OIM husaidia katika uundaji wa mabaraza ya usalama ya jami huko Cabo Delgado.
🔸Kampuni inayohusishwa na Paul Kagame inaweza kuajiriwa kufanya kazi katika Cabo Delgado.
Endelea kupata habar za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za sauti za avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Fecebook,cheneli ya telgram,na program yoyote ya podcast.
Pokea habar za kila siku kwenye whatsapp kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kireno,emakwa,shimakonde,kimuani au kishwahili.
Plural media habar kwa lugha yako