Mashirika ya uchaguzi tayari yanafanya kazi Mocimboa da Praia

2 February, 2023

Habari Gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 02,februari,2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana n Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Mashirika ya uchaguzi tayari yanafanya kazi Mocimboa da Praia.

🔸 Tanzania itatuma Jeshi zaidi Cabo Delgado.

🔸 Walimu 13 wamefariki Dunia na mashambulizi ya kigaidi huko Cabo Delgado katika kipindi Cha miaka mitatu ilyopita.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokaya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakowa,kimakonde,kimuani ma kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down