Majeshi wanashutumiwa kuwanyanyasa raia katika Kijiji Cha Mocimboa da Praia
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 06.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸 Majeshi wanashutumiwa kuwanyanyasa raia katika Kijiji Cha Mocimboa da Praia.
🔸 CDD wanataka vijana washiriki katika nchakato wa Amani.
🔸 Katika atua ya juu ya mchakato wa mazungumuzo yenye lengo la Amani Huko Cabo Delgado.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.