Majeshi wanaendelea kutafuta kisiwa cha matemo baada ya chambulio hilo

29 March, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Jumane hi Machi 29,2022.

🔸Majeshi wanaendelea kutafuta kisiwa cha matemo baada ya chambulio hilo.

🔸Milioni ya risasi inawalazimu wanakijiji wa Macomia kulala msutuni.

🔸OIM yasajili ongezeko la asilimia la idadi waliokimbia makazi yao.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za a voz.org au kutoka kwa kurasa zetu za fecebook,cheneli ya telgram,na program yoyote ya podcast.

Pokea habari za kila siku kwenye whatsapp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako,kireno emakwa,shimakonde,kimuani au kishuahili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down