Majeshi Waliziwiya Jaribu lá kushambulia nsafara wa kijeshi huko Muidumbe
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 16,Machi 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu .
🔸 Majeshi Waliziwiya Jaribu lá kushambulia nsafara wa kijeshi huko Muidumbe.
🔸 Watu waliokimbia makazi Yao, waliokimbilia Maningane huko Chiure wanalalamika njaa.
🔸 Wanajeshi wa Angola ambao wako katika misheni ya SADC wataka kwa miezi mitatu
Mingine huko Cabo Delgado.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza pia kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Plural Média habari kwa lugha yako.