Majeshi wa UIR na wa Rwanda waliitwa kuzima fujo Huko Mocimboa da praia

13 June, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 13.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa Sasa mambo muhimu.

🔸 Majeshi wa UIR na wa Rwanda waliitwa kuzima fujo Huko Mocimboa da praia.

🔸 Ruby kubwa zaidi ya Montepuez iliuzwa Kwa mnada Huko New York Kwa milioni 34.

🔸 Magaidi wameanza kupekua magari katika wilaya ya Macomia.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down