Majeshi wa kwingilia araka wako Chini ya utathimini ili kukomesha magaidi Huko Cabo Delgado

24 August, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 24.Agasti ,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Kiwango cha agira Kwa vijana Huko Cabo Delgado bado akijafikia.

🔸 Cabo Delgado itapokeya duwa Kwa miezi ijayo.

🔸 Majeshi wa kwingilia araka wako Chini ya utathimini ili kukomesha magaidi Huko Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down