Majeshi wa África Kusini wanahamia pwani ya Macomia
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 06, Julai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Watu wawili wameuawa katika mashambulizi ya kigaidi wilaya ya Mocimboa da Praia.
🔸 Mozambique na Malawi zinashirikiana kudhibiti ugaidi kwenye Mipaka yao.
🔸 Majeshi wa África Kusini wanahamia pwani ya Macomia.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na grogram yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.