Majeshe waliziwia jalibo la kushambulia Nangade

22 December, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 22,Desemba,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Idadi wengi ya watu wanarejea Mocimboa da Praia lakini huduma za kimsingi bado ni duni.

🔸 Majeshe waliziwia jalibo la kushambulia Nangade.

🔸 Botswana wanaweza kutuma wanajeshi huko Cabo Delgado.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa: https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down