Majeshe wa Msumbiji na wa Rwanda huko Mocimboa da Praia yawaua watu wawili

5 July, 2022

Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Julai,05,2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Majeshe wa Msumbiji na wa Rwanda huko Mocimboa da Praia yawaua watu wawili.

🔸Macomia na Meluco wakilengwa na mashambulizi ya kigaidi mwiswoni mwa juma.

🔸Watu 6,000 wapya waliokimbia makazi yao walisaidiwa katika makao makuu ya wadhifa wa utawala wa Miezi Pekee.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani,au kishuahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down