Maisha kurudiya upya huko Quissanga baada ya kurudi kwa wakimbizi

16 August, 2022

Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo Ili. Jumanne hii 16, Agosti tunayo mambo muhimu yafuatayo:

🔸 Maisha kurudiya upya huko Quissanga baada ya kurudi kwa wakimbizi.

🔸 Watu sita wamitekwa nyara katika uvamizi mwengine wa kigaidi wilaya ya Nangade.

🔸 Zaidi ya viwanda 100 vimefunguliwa tena katika wilaya zilizoshambuliwa huko Cabo Delgado.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avo.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook, cheneli ya Telegram na program yoyote ya Podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Kimakuwa, Kimakonde,Kimuani na Kiswahili.

Plural Média - habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down