Mahakama ya Cabo Delgado itahukumu kesi 12 za ugaidi

10 November, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 09.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Mahakama ya Cabo Delgado itahukumu kesi 12 za ugaidi

🔸 Zaidi ya watu elfu 30 awana maji ya kunywa katika wilay ya Nangade

🔸 Mpango wa chakula dunia utapunguza nsaada huko Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avor.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down