Magari na nyumba ziliunguwa karibu kabisa na mji wa pemba

16 June, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi Kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii Juni 16,2022.

🔸Takribani watu 12.000 walihusika katika wimbi jipya la watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.

🔸Ujumbe wa SADC utangaza kufuta magaidi huko Macomia

🔸Magari na nyumba ziliunguwa karibu kabisa na mji wa pemba.

Endelea kupata habar za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz .org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na programa yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya Kireno,Emakwa, Shimakonde ,kimuani au Kishuaili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down