Magaidi warudi kuteka nyara na kuua huko Nangade

19 April, 2022

Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hi Abril,19,2022.

🔸Watu waliokimbia makazi yao wanaomba usaidizi wa biashara katika kituo cha makazi mapya huko Cabo Delgado.

🔸Magaidi warudi kuteka nyara na kuua huko Nangade.

🔸Fátima mimbire arifa kwa zaidi hatua za usalama kabla ya unyonyaji wa gesi huko Cabo Delgado.

Emdelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za mpya za avoz .org au kutoka kwa kurasa zetu za facebook,chenel ya telgram yoyote UA podcast.

Pkeya habari kila siku kwenye whatssap kwa kutukma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yaka kati ya,kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishahili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down