Magaidi wanatumia vilipuzi tangu juni kushambulia Majeshi

29 August, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 29. Agasti 2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Majeshi wametangaza kumuhuwa kiongozi wa kigaidi Ibn Omar Machude Huko Cabo Delgado.

🔸 Islamic state wametangaza kuwauawa Majeshi wa Mozambique.

🔸 Magaidi wanatumia vilipuzi tangu juni kushambulia Majeshi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupta habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down