Magaidi wanaoendesha shughuli Zao katika wilaya ya Macomia walipanda Kijiji Cha Pangani bila ya kusababisha tukiyo lolote

14 September, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14, Septemba,2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Magaidi wanaoendesha shughuli Zao katika wilaya ya Macomia walipanda Kijiji Cha Pangani bila ya kusababisha tukiyo lolote.

🔸 Mpaka wa Namoto umefunguliwa tena kati ya Mozambique na Tanzânia.

🔸 Wasichana zaidi waliokolewa kutoka kwenye Ndoa za Mapema.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down