Serikali inalazimika kutowa Fedha za kukabiliana na ugaidi Huko Cabo Delgado Amesema Raisi Nyusi

11 July, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 11, Júlai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Magaidi wamewaua Majeshi Nane wa Jeshi la ulinzi la Mozambique katikati wilaya ya Mocimboa da Praia.

🔸 Serikali inalazimika kutowa Fedha za kukabiliana na ugaidi Huko Cabo Delgado Amesema Raisi Nyusi.

🔸 Mkuu wa wilaya ya Muidumbe Ataka watumishi wa umma warudhiswe kazini.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down