Magaidi wamewateka nyara wanawake katika Kijiji kimoja wilaya ya Palma
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 23,Februari,2023,sauti ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸Zaidi ya watu elfu 50 tayari wamerejea vijijini vyao wilaya ya Muidumbe.
🔸Wazili wa ulinzi wakitaifa anasema bado hajapokeya malalamishi ya ukiukaji wa haki za binadamu na majeshe.
🔸Magaidi wamewateka nyara wanawake katika Kijiji kimoja wilaya ya Palma.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram,na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org.
Unaweza pia kupata habari izo kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako unayopendelea kati ya kireno,kimakowa,kimakonde,kimuani ma kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.