Magaidi wamepanda Kijiji cha ulo wakitafuta chakula
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 21,Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸 Magaidi wamepanda Kijiji cha ulo wakitafuta chakula.
🔸 Hospitali ya Mocimboa da Praia na Muidumbe zinaitai ukarabati haraka sana.
🔸 Zaidi ya watu 500.000 wanaitaji huduma za elimu.
Pata habari kuhuso mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza pia kupata habari izi kupitia whatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Plural Media habri Kwa lugha yako