Magaidi wameaidi kuchambuliyo magari ya Kijeshi

28 September, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.Septeber,2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Magaidi wameaidi kuchambuliyo magari ya Kijeshi.

🔸 Umoja wa ulaya wametowa fedha Kwa ajili ya usaidizi wa kibinadamu.

🔸 Zaidi ya watu elfu 800 awana makazi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down