Magaidi waliwaua watu watatu katika kisiwa cha matemo na kuacha ujumbe ukiadhi mashambulizi zaidi

5 February, 2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 05,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni mahada za habari.

🔸Magaidi waliwaua watu watatu katika kisiwa cha matemo na kuacha ujumbe ukiadhi mashambulizi zaidi.

🔸Mkuu wa total energy anasema kwa kurejea Cabo Delgado kunategemea uendelevo wa usalama.

🔸Nhysi anasema kuwa Vita dhidi ya ugaidi imeingia hatua mamuzi.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

,

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down