Magaidi wako katika kampeny ya utetezi ili kushinda idade ya watu

14 February, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 14, februari,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Magaidi wako katika kampeny ya utetezi ili kushinda idade ya watu.

🔸 Kampuni ya Total aina araka ya Kuludi Cabo Delgado.

🔸 Palma na Mocimboa da Praia zitakuwa na mahakama mpya.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza pia kupata habari izo kupitia whassAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 katika lugha unayopendela kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani au kiswahili

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down